Watoto wa kike huanza mapema miezi 10, 11 mpaka mwaka na kuendelea, kama ameshaanza kukamata na kusimama ni wazi huyo atatembea na miezi 11 au mwaka mmoja, ila cha msingi muwe na nyie mnaonyesha juhudi za kumfanya aweze kunyanyua miguu wengine huwanunulia vigari n.k.. ila tabia ya mtoto kama ana afya njema muda ukifika tu, atafanya yake yote kwa muda uliopangwa.Naomba msaada kuhusu kutambaa kwa mtoto. Mtoto wangu ni wa kike ana miezi tisa lakini bado anajivuta kwa tumbo. Sasa hivi ndo naona anashika kwenye kiti au meza anasimama mwenyewe. Je ni muda gani sahihi kwa mtoto awe ameshaanza kutembea?
Asante kwa ushauri wako. Ubarikiwe sana.Watoto wa kike huanza mapema miezi 10, 11 mpaka mwaka na kuendelea, kama ameshaanza kukamata na kusimama ni wazi huyo atatembea na miezi 11 au mwaka mmoja, ila cha msingi muwe na nyie mnaonyesha juhudi za kumfanya aweze kunyanyua miguu wengine huwanunulia vigari n.k.. ila tabia ya mtoto kama ana afya njema muda ukifika tu, atafanya yake yote kwa muda uliopangwa.
Hana tatizo jitahidi tu kumpa malezi yanayostahili, ikiwemo chakula bora na kuepuka kumbemendaNaomba msaada kuhusu kutambaa kwa mtoto. Mtoto wangu ni wa kike ana miezi tisa lakini bado anajivuta kwa tumbo. Sasa hivi ndo naona anashika kwenye kiti au meza anasimama mwenyewe. Je ni muda gani sahihi kwa mtoto awe ameshaanza kutembea?
Jaribu kumtafutia kigari kitachoweza kumsaidia kutembea kwa haraka..wa kwangu wa kike alianza kutembea mwenyewe akiwa na miezi 7
mtoto anatakiwa apate maziwa 6 month mfululizo! maziwa ya mama yananguvu kubwa lakini inapo tokea mnaanza kuwapa maugali mapema hayo ndio mazara yake!Naomba msaada kuhusu kutambaa kwa mtoto. Mtoto wangu ni wa kike ana miezi tisa lakini bado anajivuta kwa tumbo. Sasa hivi ndo naona anashika kwenye kiti au meza anasimama mwenyewe. Je ni muda gani sahihi kwa mtoto awe ameshaanza kutembea?
Maduka ya watoto, kinaitwa baby Walker kuanzia elf 40 hadi cha laki 2, wewe tu na mfuko wakoKIGARI KINAPATIKANA WAPI NA SH NGAPI?
Hiyo kubemenda ni story tu hakunaga hiyo kituHana tatizo jitahidi tu kumpa malezi yanayostahili, ikiwemo chakula bora na kuepuka kumbemenda
Exaggeration.....mtoto anatakiwa apate maziwa 6 month mfululizo! maziwa ya mama yananguvu kubwa lakini inapo tokea mnaanza kuwapa maugali mapema hayo ndio mazara yake!
Mmh hayaHiyo kubemenda ni story tu hakunaga hiyo kitu