Sijawahi ziona hizo mita, i guess kutakuwa na main mita na hizo mita ndogo za kila chumba.
Inamaana sum ya mita ndogo zote itakuwa ni sawa/equivalent na main mita.
Mfano kuna vyumba 5 na mmenunua unit 100, inamaana ukijumlisha idadi ya matumizi ya unit ya mita zote tano itabidi jibu lije 100 au karibu ya hapo, kama litakuja jibu tofauti sana ya hapo kutakuwa hakuna ufanisi