CHOTABUSARA
Member
- Feb 6, 2012
- 47
- 48
Wadau nasumbuliwa sana na Gaut nimejaribu kutumia dawa tofauti za kisasa na asili bila mafanikio, kwa yoyote anaejua dawa itakayonisaidia plz naomba msaada mana nilishawaipata dawa ya fungus humu humu na kukomesha kabisa fungus zilizokua zinanisumbua kwa muda mrefu