Sidhan kama ipo, nyingi zina support english. Maybe uclone your voice.Wadau nimejaribu kutafua AI nzuri kwaajili ya Voice Over ya Kiswahili nimekwama. Msaada kwa mwenye kujua ambayo ni nzuri anisaidie.
Zipo Kwenyr Nyimbo na Baadhi ya Vitu ila Voice over ya Swahili badoSwahili ni moja lugha ambazo ai inapata shida nazo kwakuwa hakuna data za kutosha kuifundisha ai vizuri. Ila jaribu kuandika kiswahili kwenye hizo za english utapata kitu.
Caption unaweza kufanya kwa vile translation english -> Swahili text sio mbaya tengeneza caption za english kisha translate english to Swahili. AI inaweza kufanya vyote viwili.Mimi natafuta ya captions za kiswahili
Namaanisha autocaption.Caption unaweza kufanya kwa vile translation english -> Swahili text sio mbaya tengeneza caption za english kisha translate english to Swahili. AI inaweza kufanya vyote viwili.
Ok hapo tatizo ni lile lile ai haziko vizuri kwenye kuelewa maongezi/sauti za kiswahili kwa sababu ya ukosefu wa data za kufanyia training.Namaanisha autocaption.
Yaani video ya kiswahili AI inadetect ninachsema na kuweka caption automatically kwenye video KWA kiswahili. Zipo hizi pia.
voice aiSwahili ni moja lugha ambazo ai inapata shida nazo kwakuwa hakuna data za kutosha kuifundisha ai vizuri. Ila jaribu kuandika kiswahili kwenye hizo za english utapata kitu.
Kuna moja niliwahi kutest ikafanya vizuri sana inakosea machache tu ila accuracy yake ni zaidi ya 90%. Tatizo ilikuwa ni gharama kubwa sana.Ok hapo tatizo ni lile lile ai haziko vizuri kwenye kuelewa maongezi/sauti za kiswahili kwa sababu ya ukosefu wa data za kufanyia training.
Swahili text zinajitahidi.
Hili nalo tatizo kugeuza audio/video kama content yako ni ndefu sio clip fupi cost ni issue, inabidi utafute ambayo unaweza kurun local au kwenye cloud ambapo unalipia server sio dakika za audio.Kuna moja niliwahi kutest ikafanya vizuri sana inakosea machache tu ila accuracy yake ni zaidi ya 90%. Tatizo ilikuwa ni gharama kubwa sana.
DahHili nalo tatizo kugeuza audio/video kama content yako ni ndefu sio clip fupi cost ni issue, inabidi utafute ambayo unaweza kurun local au kwenye cloud ambapo unalipia server sio dakika za audio.
Whisper ya OpenAI ni bure locally na haihitaji GPU audio->text ila kiswahili haisupport.