thobias ngosha
Member
- Jul 14, 2015
- 47
- 6
jaman mwenye ujuzi mzuri juu ya scholarship kuanzia ngazi ya diploma mpaka degree anisaidie jinsi ya kupata maana naangaika kwenye mtandao naona sielew tu naitaj ya nchi yoyote ile

Kama Form 4 una angalau D katika Masomo haya: Mathematics, Physics, Chemistry na Biology, kuna Scholarship 3 nazijua za Serikali ya Tanzania zinakuhusu!