Nina tatizo kwenye PC yangu aina ya TOSHIBA Kwani touch Pad haifungui program wala hai close Nikiwasha kabla zile program ambazo ninafukuka zenyewe hazijafunguka nikifungua program zinafunguka tatizo lipo zikishafunguka na close na najaribu kufungua program nyingine lakini no respons msaada wadau!