Msaada juu ya Passio

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
192
mwenye ufahamu juu ya duka linalouza kwa bei nzuri pamoja na Bei au gharama ya vifaa kama power window main na zile za kawaida, spear tyre zile tairi ndogo, redio, jeki, vyote vya gari ndogo aina ya PASSIO.
 
Nilidhani Pasco kumbe ni Passo!
 
Last edited by a moderator:
mwenye ufahamu juu ya duka linalouza kwa bei nzuri pamoja na Bei au gharama ya vifaa kama power window main na zile za kawaida, spear tyre zile tairi ndogo, redio, jeki, vyote vya gari ndogo aina ya PASSIO.

Mkuu wamekukwapulia nini? nenda kariakoo utapata.
 
mwenye ufahamu juu ya duka linalouza kwa bei nzuri pamoja na Bei au gharama ya vifaa kama power window main na zile za kawaida, spear tyre zile tairi ndogo, redio, jeki, vyote vya gari ndogo aina ya PASSIO.

Mkuu wamekukwapulia nini? nenda kariakoo utapata,halafu usiseme passio sema passo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…