Msaada juu ya mitihani ya ACCA

Msaada juu ya mitihani ya ACCA

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,321
Reaction score
13,765
Mwenye kujua Ukiwa Umesoma degree ya Accounting and Finance Unatakiwa kupiga Mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo !
 
Ukiwa na degree ya accounting unapata exemption ya paper f1,f2,f3 na f4 then unafanya f5 f6 f7 f8 f9 ndio unaanza professional papers p1 p2 p3 na unachagua za option 2 kati ya p4 p5 p6 and p7 ndiyo hivyo tiu
 
Back
Top Bottom