F fed frey New Member Joined Feb 9, 2019 Posts 2 Reaction score 1 Sep 24, 2019 #1 Habari ya leo doctor. Pole na majukumu na ubarikiwe kwa mjibu atupayo mwanga pale palipo kuwa na giza tunapa mwanga. Usituchoke na maswali yetu
Habari ya leo doctor. Pole na majukumu na ubarikiwe kwa mjibu atupayo mwanga pale palipo kuwa na giza tunapa mwanga. Usituchoke na maswali yetu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,741 Reaction score 197,395 Sep 24, 2019 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
vidmate JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 722 Reaction score 1,343 Sep 24, 2019 #3 fed frey said: Habari ya leo doctor. Pole na majukumu na ubarikiwe kwa mjibu atupayo mwanga pale palipo kuwa na giza tunapa mwanga. Usituchoke na maswali yetu Click to expand... Binafsi hata niambiwe Nina HIV+ hizo dawa sitomeza kamwe nitazingatia lishe na mazoezi. Hizo dawa nilizifatilia google madhara yake ni makubwa kuliko faida kinga waweza zipandisha kwa namna nyingi zaidi ya kutumia Arvs
fed frey said: Habari ya leo doctor. Pole na majukumu na ubarikiwe kwa mjibu atupayo mwanga pale palipo kuwa na giza tunapa mwanga. Usituchoke na maswali yetu Click to expand... Binafsi hata niambiwe Nina HIV+ hizo dawa sitomeza kamwe nitazingatia lishe na mazoezi. Hizo dawa nilizifatilia google madhara yake ni makubwa kuliko faida kinga waweza zipandisha kwa namna nyingi zaidi ya kutumia Arvs