Msaada juu ya maombi ya kazi

Marga

Senior Member
Jun 8, 2012
113
34
Habari za asubui wanaJF
Naomba kujua kuhusu uandishi wa barua pamoja
na CV ni vyema kuandika kwa mkono au kuichapa?
Na ni kwanini?
Asanten sana.
 
Barua ya kuomba kazi ni lazima uiandike kwa mkono. Hii inasaidia huyo muajiri wako atambue uliomba kazi ni wewe na umetamka kwa kinywa chako kupitia barua yako. CV unaweza kuiandika kwa mkono au kwa kuichapa yote ni sawa.
 
kwan ukichapa haioneshi kama umetamka kwa kinywa chako?
 
If you send a hand written application letter to my office it will not even pass the first stage, please believe! Unless mwajiri amekuambia explicitly kuwa barua iwe hand written usifanye hiyo mistake. Waajiri wengi wanapenda typed letters for many reasons including they are easier to decipher. Pia siku hizi kwa wingi application na CV hutumwa kwa email, kwa hiyo it makes sense to type out your letter. It also shows that you know you can use the computer for word processing.

Good luck!
 
Barua ya kuomba kazi ni lazima uiandike kwa mkono. Hii inasaidia huyo muajiri wako atambue uliomba kazi ni wewe na umetamka kwa kinywa chako kupitia barua yako. CV unaweza kuiandika kwa mkono au kwa kuichapa yote ni sawa.
sidhani kama kuna ukweli katka hilo!!hakuna kutamka kwa kinywa kupitia mkono!!kwani ukichapa na mashine utakuwa si wewe!!!!!
 
kwa mara nyingi bora utype koz kuna wengine wanamiandiko ya ajabu ambayo kusoma ni ishu na siku hizi applicants ni wengi sana so ukiandika kwa mkono afu mwandiko ndo tena wakina nahii utakosa mwana bt kama unandika kwa mkono make it clean.kinachomata wat quality doesnt hold weatheq ts typed o handwritin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom