Akhsalaam aleiko wakuu wa jamvi hili. Nina tatizo la kufungua page yangu ya e-mail (Yahoo Mail). Kama muda wa wiki mbili au zaidi najaribu ku-sign in lakini napewa message kwamba eti kuna server error. Naomba kama kuna mtu anaejua namna ya kuondokana na tatizo hili anisaidie. Natanguliza shukrani zangu kwenu, asanteni.
Hata mimi! Mimi nikijaribu kufungua kupitia simu naambiwa vivyo hivyo. Nimejaribu ktumia kompyuta, nikaambiwa niihamishie kwa server centre wa India, nikafanya hivyo. Nikifungua kupitia kompyuta inafunguka ila KWA SIMU HASIFUNGUKI.