huwa cpu zina limit ya joto, likifika nyuzi fulani hivi computer inajizima.
kuna kitu kinaitwa thermal paste, hii huwa wanapaka juu ya cpu inasaidia sana isipate joto,
ipo kama dawa ya mswaki unapakaa kidogo juu ya cpu na kuisambaza kiasi
sijui wapi wanaziuza hapa bongo, ila bei si sana maana huko online ni kama dola 1 au 2,