Bakari Choya
Member
- Aug 13, 2017
- 15
- 0
Naomba kuuliza juu ya taarifa iliyotolewa na tamisemi kuhusu wanafunzi ambao hawakuchaguliwa kujiunga kidato cha tano. Je ni ipi tarehe ya kuanza kutuma maombi ya vyuo na tarehe ya mwisho ni lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app