Sijakuelewa mkuu
Wanakuja hao wazee wa kucheza na hizo masuala za Networking watakupa maelezo ya kutosha nimewaita hapoSijakuelewa mkuu
Shukurani sana.Wanakuja hao wazee wa kucheza na hizo masuala za Networking watakupa maelezo ya kutosha nimewaita hapo
Post #2 amekupa pa kuanzia.Ulipata mkuu? Nami nahitaji kitu kama hiki
Shukrani mkuu.Post #2 amekupa pa kuanzia.
Labda niulize swali unatumia router gani?
Router nyingi zina sehemu ya kuangalia host (device) gani inakula bandwidth kubwa. Yani ina matumizi makubwa.
Tumia winbox application.
Kisha nenda kwenye firewall kupitia admin panel ya router ufanye settings za kumzuia (block) au kumuachia (unblock) huyo host (device).
Una access ya router admin panel? Kama huna wapigie ISP wako watakupa kama mkataba wenu unaruhusu.
Mara nyingi wakikupa hizo credentials maana yake kuanzia wakati huo wewe utakuwa responsible kwa ku-manage hiyo network.
Kama huwezi kutumia Winbox kwa kuingia kwenye router yako basi tumia mojawapo ya hizi IP addresses 192.168.1.1, 192.168.0.1, au 10.0.0.1. kwenye web browser.
Wewe unahitaji Technician ili akufanyie hio kazi wewe ni User sio Technician,Shukrani mkuu.
Ni kweli ametoa muongozo, ila sometimes ujuzi unazidiana.
Kilichopo ni kwamba muda wa kazi, watu wako busy na youtube, social media, vitu kama hivo.
Sasa basi, kinachotokea, kwa hizi Internet zetu, utakuta kama ni dairly package, inaisha mapema wakati bado kazi inaendelea. Hivyo, kuna ombi la kuondoa baadhi ya urls. Kuna router ya CISCO, ambayo najua inafanya hiyo kazi, bahati mbaya, CISCO sijaisoma.
Hata router ya CISCO unaweza kuingia kwenye admin panel yako unaenda kwenye firewall unatengeneza blacklist ya url za ku-block.Hivyo, kuna ombi la kuondoa baadhi ya urls. Kuna router ya CISCO, ambayo najua inafanya hiyo kazi, bahati mbaya, CISCO sijaisoma.
Kwa sababu za kiusalama mashindwa kukusaidia remotely.Shukrani mkuu.