Msaada juu ya kujiunga na vyuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya kujiunga na vyuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kapuku83, Sep 8, 2012.

 1. K

  Kapuku83 Senior Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau habari,mimi ni kijana niliyemaliza form four mwaka 1998 na nilipata division 3,baada ya hapo nikakimbilia nje katika kujaribu kupigania maisha,katika kukaa kwangu kote huko!sikufanya jitihada sana za kupata elimu zaidi ya kusaka mkate ila mwaka wa mwisho kabla sijaamua kurudi nyumbani nikaamua angalau nirudi na kijicheti chochote na nikafanya kozi ya business computing ambayo ilikua ni level ya Foundation degree na ni kozi ya mwaka mmoja,sasa nimerudi nyumbani,mbali ya shughuli zangu!nahitaji kujiendeleza zaidi kielimu,sasa wadau naombeni ushauri wenu,nataka nifanye kozi ya diploma au degree hasa katika masuala ya business administration,je vijezo vyangu vitakidhi kuanza na level hiyo na siyo level ya certificate?au je nikifanya certificate ya adult education nitaruhusiwa kufanya degree?asanteni wadau na nasubiri msaada wenu
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  lazima ujue kwamba shida sio div 3...swala ni je una credit ngap?? kama una mbili degree unapiga we mwenyewe tu!!! ABOVE ALL KARIBU SANA JF!!
   
 3. K

  Kapuku83 Senior Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu credit ninazo tatu kwa maana ya C tatu na nina D nne ni form ya 1998 ndio nataka nijue wapi pakuanzia maana naona vyuo vyote wanataka uwe na diplopa au form six ili kuweza kufanya degree!naomba ushauri wako ndugu
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  safi sana mkuu japo sikukuelewa vizuri...kama una credit 3 unaweza amua kuenda fom6 au diploma...hapo utaangalia mwenyew wapi bora...ila kwa hali ya hapa bongo ni vyema ukaenda diploma nadhan itakua poa zaid kuliko fom 6!! diploma utapiga miaka 2 na ukiwa serious na kitab lazima ufaulu,ila kwa fom 6 ni risk sana unaweza kuwa poa lakin mwisho wa siku matokeo yasiwe poa kwa kifupi haitabiriki afu inachosha japo ni njia nzuri sana ya kuingilia degree,,,na ukweli ni kwamba huwez soma degree bila ya fom 6 au diploma..
   
 5. K

  Kapuku83 Senior Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu,nadhani hapo wazo ulilotoa ni zuri sana,hata mimi nilikua napendelea kupiga diploma kwanza alafu ndio bachelor,ila tatizo wanadai kua diploma nayo lazima uwe na principal ya form six au certificate,sasa nashndwa pata picha halisi hii niliyofanya nje ambayo wanaita foundation degree ambayo ilikua ni kozi ya mwaka mmoja wahusika hapa nyumbani wataichukulia kama ni certificate au lah!hapo ndio naumia kichwa mkuu!na sijui pa kuanzia ili niwe na jibu stahiki,au nipge certificate ya adult education?je itakua daraja la kuniwezesha kufanya diploma?
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nkwambie kitu...hiyo ya nje itakusaidia pia ila kwa nnavyojua mtu ukiwa na credit3 za o-level diploma unapiga...the same thing kwa mtu wa form6 akiwa na principal hata moja diploma anapiga!!! embu nkuulize swali hakuna wanafunzi uliosoma nao fom 4 na wakapangiwa either DIT,mist au kwa kifupi vyuyo vya ufundi..kwan unadhan wao wanaenda kusoma nini?? je wamefika fom6?? kwa uhakika zaid..kuna jiran yetu hapa kitaa alimaliza fom4 akawa na div3 hiyo hiyo na kwa sasa ndo anamalizia diploma pande za MUCCOBS!! kuna vyuo kama arusha university,SAUT,MUCCOBS(moshi) na vinginevyo naiman kabisa watakupokea,MWIMU UWE NA NIA YA KUSOMA......
   
 7. K

  Kapuku83 Senior Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu asante sana,sasa umenifungua macho rasmi,unajua nilimaliza form four muda sana,sasa kuna mtu akaniambia kua mfumo umebadilika sana,na kua form four haiwezi kunifanya nipige diploma,lazima nifanye cert kwanza!nashukuru sana mkuu,itabidi ni apply saut au arusha university!
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  haina noma ila kuna huyu jamaa anaitwa Sizinga na wengineo naiman watakua na mawazo zaid!!! ila usiamin au usikatae kila kitu sio mbaya ukitembelea web za vyuo kama muccobs,cbe,SAUT na vingine...na kama ukiwa na uwezo nenda chuoni kabisa kuliko kuambiwa haiwezekan!!! naiman kwa kufanya hivyo itakua njema sana amini HAKUNA KICHOSHINDIKANA KAMA UNA NIA!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: t_small_b_bold, width: 91%"]DIPLOMAS IN ACCOUNTANCY, PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGEMENT, BUSINESS ADMINISTRATION AND MARKETING.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 10"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Course Objectives.To train students for middle-level managerial personnel positions for Public, Private, Commercial, Industrial Enterprises and for Self-employment.
  Admission Requirements:

  • Candidates for this course should have a Form IV
   Education with five passes, two of which must be in Mathematics and English and/or Commercial studies.
  • Form Four with NABE I certificate with five passes.
  • A first and second class certificate in Business Administration from CBE, or any other recognized institution or its equivalent.
  Course Duration

  • Duration of Study Full-Time students (TFC):
   The Diploma course commences in September each year. The duration of the course is two academic years consisting of four semesters of 15 contact weeks each, plus one week for examination preparation, one week for examinations and one week break after Mid Semester test. In total a semester consists of 18 weeks. Between the first, second, third and fourth semesters there are breaks of two weeks each. There is a long vacation between the second and third semester. During this time the students are scheduled for the field work.
  • Duration of Study Night College students (TNC):
   The Diploma course has two intakes one that commences in June of each year and another that commences in September each year. The duration of the course is two academic years consisting of four semesters of 22 contact weeks each, plus one week for examination preparation, one week for examinations and one week break after Mid Semester test. In total a semester consists of 25 weeks. Between the first, second, third and fourth semesters there are breaks of two weeks each. There is a long vacation between the second and third semesters. During this time the students are scheduled for the field work.
  Awards
  Depending on the specialization, upon completion of the course the students who successfully complete the four semesters and who satisfy the Board of Examiners will be awarded a Diploma in Accountancy, Procurement and Supply Management, Business Administration and Marketing.
  NAIMAN MPAKA HAPO UTAKUA NA KAMWANGA,ILA MASWALA YA MATHS SIJUI NINI HIZO NI MBWEMBWE TU UKIENDA HUWEZ KOSA....ILA ndugu Kapuku83 kama nlivyokwambia fanya research zaid..naiman utafanikiwa!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. K

  Kapuku83 Senior Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu,hapo nimepata mwanga wa kutosha sana,kumbe mambo yanawezekana kabisa,asante sana mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...