Msaada juu ya kujiunga na chuo

Msaada juu ya kujiunga na chuo

255 jean

New Member
Joined
Aug 8, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana JF mm ni mgeni humu ningependa kujua jinsi ya kujiunga na chuo cha lugalo millitary college msaada kwa alie someapo au anae jua utaratibu wa kujiunga nao kwenye course ya clinical officer make nimemalza kidato cha nne2018
 
Ni kuingia tu nacte na unaaply,
Na make sure Matokeo yako ni mazuri mana vyuo kama ivo in vina competition sana
 
Back
Top Bottom