SHAHADA YA KWANZA ALITAKIWA AWE NA ANGALAU 3.8,Habari wakuu,
Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health.
Kwa sasa anataka kuomba chuo akafundishe undergraduate nursing. Je kwa qualifications hizo anaweza kukubalika?
Asante.
GPA kwa vyuo private ni 3.5 minimum kwa undergraduate. Kwa hiyo anaqualify. Masters ni 4.0.Habari wakuu,
Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health.
Kwa sasa anataka kuomba chuo akafundishe undergraduate nursing. Je kwa qualifications hizo anaweza kukubalika?
Asante.
Vyuo vya private ndio atakubalika...Habari wakuu,
Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health.
Kwa sasa anataka kuomba chuo akafundishe undergraduate nursing. Je kwa qualifications hizo anaweza kukubalika?
Asante.
Kiranga ana tatizo la kiakili mkuu, mvumilie tuu, ana taabika na Mengi huyo. Anaemkana Mungu atapata maisha ya dhiki ndo kama haya mtu anatukana ovyo tu.Itakua laana zinakuingia teyari za kumkana muumbaji! [emoji1]
That's too low of you, little provocation and you fell.. Psychiatry
Umenikumbusha mbali sana aisee.. kuna siku nili drop pale Cafe II Udsm nikitoea Open University for conference event nikawa nakula meza moja na mwanafunzi wa Masters tukawa na mjadala wa ajira nikamchana kuwa kuna watu wa PHD na wanasaka kazi and still it's hard shot kupata post, afisa akawa mbishi sana ukicheki ameshafahamu kuwa mimi ni BA candidate ndio dharau zikazidi kwangu ikabidi nikaushe because i was very right and knowing what i was talking bout na still na shuhudia mara kwa mara PHD holders wanasaka kazi mostly taasisi za vyuo vya umma. So it's real out there brother for such people.Unasoma mpaka Ph.D halafu kazi unaombeleza bado.
Umenikumbusha mbali sana aisee.. kuna siku nilikuwa nili drop Cafe II pale Udsm nikitoea Open University for conference event nikawa nakula meza moja na mwanafunzi wa Masters tukawa na mjadala wa ajira nikamchana kuwa kuna watu wa PHD na wanasaka kazi and still hot shot kupata, akawa mbishi sana ukicheki ameshajua kuwa tena ni BA candidate ndio dharau zikazidi ikabidi nikaushe because i was very right and knowing what i was talking bout na still na shuhudia mara kwa mara PHD holders wanasaka kazi. So it's real out there brother for such people.Unasoma mpaka Ph.D halafu kazi unaombeleza bado.
Nauliza tu ni wewe au kuna mtu kahack account yako we msukuma?
Ph.D inabidi ujipange sana.Umenikumbusha mbali sana aisee.. kuna siku nilikuwa nili drop Cafe II pale Udsm nikitoea Open University for conference event nikawa nakula meza moja na mwanafunzi wa Masters tukawa na mjadala wa ajira nikamchana kuwa kuna watu wa PHD na wanasaka kazi and still hot shot kupata, akawa mbishi sana ukicheki ameshajua kuwa tena ni BA candidate ndio dharau zikazidi ikabidi nikaushe because i was very right and knowing what i was talking bout na still na shuhudia mara kwa mara PHD holders wanasaka kazi. So it's real out there brother for such people.