Msaada Juu ya kuangalia Salio la umeme LUKU

Msaada Juu ya kuangalia Salio la umeme LUKU

Credere Potest

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2016
Posts
217
Reaction score
299
Mwenyewe kufahamu jinsi ya kuangalia salio la umeme wa Luku kwenye hiki kimashine cha kuingizia umeme cha Tanesco naombeni msaada wenu!
 
Jamani hapa kunamajibu matatu

1. 000 alafu ok

2. 003 alafu ok

3. 07 alafu ok

Kwamanufaa ya wengi lipi ni jibu sahihi
 
Mm natumia 003 ok

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Me nna limita langu huwa sijui zimebakia unit ngapi, kila muda linajibadilisha minamba Namba
 
Kuna mita za aina tofauti yaani wasion, clo, abacus, conlog, star, actaris etc na kila kundi lina code yake mfano clo 07, wasion 003 etc
 
Mimi natumia 003 halafu Ok

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ukiwasha kwenye umeme inaleta salio kwenye screen, au vi remote vimetofautiana?
 
Kuna mita za aina tofauti yaani wasion, clo, abacus, conlog, star, actaris etc na kila kundi lina code yake mfano clo 07, wasion 003 etc
Habari mkuu! kwa maelezo yako haya mi natumia CLO Lakini naomba kujua naangalia vipi umeme wa mwisho kuwekwa kwenye Luku?
 
Back
Top Bottom