Diallo genius
Member
- Sep 11, 2017
- 80
- 64
Sawa kaka lakini je, kwa ufaulu huo CBG inawezekana?Kwa ufupi tu, advance ni sehemu ya kupotezea muda. Nenda chuo kachukue diploma ya kitu unachotaka kukisoma.
Mambo yanachanganya sana.Sawa kaka lakini je, kwa ufaulu huo CBG inawezekana?
Sawa kaka shukran sanaMambo yanachanganya sana.
Waraka wa mwaka 2015 (Kama sijakosea mwaka) ulisema ili mtahiniwa afanye mtihani wa kidato cha sita, ni lazima awe na credits kweny masomo yake yote matatu. (Credit maana yake A, B au C)
Sasa sijui kwa sasa mambo yakoje, maana nchi hii inategemea wale jamaa wameamkaje
Unasoma cbg vizuri, lakini naona ukipangwa hgl au hkl. Ila unaweza wahi ukabadili combination.Sawa kaka lakini je, kwa ufaulu huo CBG inawezekana?
Sawa sawa kaka nashukuru kwa ushauriUnasoma cbg vizuri, lakini naona ukipangwa hgl au hkl. Ila unaweza wahi ukabadili combination.
Unamatokeo mazuri lakini mabaya . Ukikataliwa kubadili komaa na hgl chuo upige law. maana hiyo cbg kwa sasa haina ishu saana,
Sawa asantefanya unachopenda dogo
HGE wakati ana F ya hesabu. BAM atawezana nayo ??Nakushauri nenda hge hutajuta hiyo cbg sikushauri kwa sababu maksi zako zinaonekana ni za kubahatisha ili hayo masomo mengine umefanya vzr ushauri nenda hge au hgl kwa sababu hizi comb possibility ya kupiga one Tena unayo sikushauri cbg kwa sababu usipokazana Sana kwenye comb utajikuta umeangukia kwenye three au two ya 12 mwisho wa siku uanze kujuta
Kaka mi nimesoma tu hapa ndo naanza kutafuta hatima ya kuja kuwa nani mbeleniWe unapenda uwe nani? Uwe na utaalamu gani.?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Basi nichukue HGL maana HGE siwez nina F ya mathsNakushauri nenda hge hutajuta hiyo cbg sikushauri kwa sababu maksi zako zinaonekana ni za kubahatisha ili hayo masomo mengine umefanya vzr ushauri nenda hge au hgl kwa sababu hizi comb possibility ya kupiga one Tena unayo sikushauri cbg kwa sababu usipokazana Sana kwenye comb utajikuta umeangukia kwenye three au two ya 12 mwisho wa siku uanze kujuta
Sure haiwezekanHGE wakati ana F ya hesabu. BAM atawezana nayo ??
Yes, soma HGL.Basi nichukue HGL maana HGE siwez nina F ya maths
Hata cbg anayotaka akasome kuna bam piaHGE wakati ana F ya hesabu. BAM atawezana nayo ??