sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,028
- 650
helo wadau hii huawei y300 android phone yangu nikipiga simu au nikipigiwa siwezi kuitouch kukata simu touch haifanyi kazi kabisa hadi nibonyeze power button pia hata screen ikiturn off pia touch haifanyi kazi mpaka nibonyeze power button , hivi solution yake ni nini maana nikibonyeza power button touch inafanya kazi kama kawaida