MSAADA JUU YA F1 -F12 ktk laoptop yang

MSAADA JUU YA F1 -F12 ktk laoptop yang

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
naomba kuelekezwa nifanyaje ili niweze kuzirudishia key ya F1 - F12 kufanya kazi mf F2&F3 ZITUMIKE KUONGEZA MWANGA NA KUPUNGUZA,f6f7f8 kama foward,pause na backward pia f9f10 kama volumu up and down
ni toshiba na ina window 7
 
  • Hapo tatizo ni drivers
  • Ufumbuzi: Download hii software: Driver pack Solution.
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/515647-driverpack-solution-13-r380-dvd-iso.html[/URL]
  • File size ni 4.3GB kama bado hujaunganishwa na Ulimited Internet Nitumie PM nikuunganishe
 
Ninakukubali sana kwenye hii fani. Much respect.
 
  • Sifa ya hili jukwaa ni "kusaidiana pasipo kujuana" Wana JF kwa pamoja tunaweza
  • Karibu

Wote wangekuwa kama wewe na upendo huu wa mshumaa, Tanzania lazima tungekuwa karibu na mawingu tunaelea.
Au siyo jibaba?
 
ila kulikua na driver ambayo niliuninstall haikua na ukubwa wa kuweza kufika hata MB100
ilikua ya moja kwa moja na mashine bt mi nikaitoa hapo ndo tatizo lilipo anzia
 
mashine gani unatumia?
 
ila kulikua na driver ambayo niliuninstall haikua na ukubwa wa kuweza kufika hata MB100
ilikua ya moja kwa moja na mashine bt mi nikaitoa hapo ndo tatizo lilipo anzia
Kama hujui unachofanya usijaribu kucheza na device drivers.
 
da naona msaada cpati ngoja nendelee kutumia kawaida kwa kubonya FN na eg F1
 
naomba kuelekezwa nifanyaje ili niweze kuzirudishia key ya F1 - F12 kufanya kazi mf F2&F3 ZITUMIKE KUONGEZA MWANGA NA KUPUNGUZA,f6f7f8 kama foward,pause na backward pia f9f10 kama volumu up and down
ni toshiba na ina window 7

Kama uliifuta mwenyewe jaribu ku restore chagua option ya siku ambazo unajua ilikuwa inapiga kazi poa
 
Jaribu kufanya yafuatayo:
>Start menu
>All programs
>Toshiba
>Tools&utilities
>Keyboard Pale inaposema "Function Keys Mode" badirisha kwenda "Standard F1-F12 Mode"
 
ila kulikua na driver ambayo niliuninstall haikua na ukubwa wa kuweza kufika hata MB100
ilikua ya moja kwa moja na mashine bt mi nikaitoa hapo ndo tatizo lilipo anzia
da naona msaada cpati ngoja nendelee kutumia kawaida kwa kubonya FN na eg F1

  • Njia ya pili: Download hiki kifaili kina size ya 1.02mb
    Code:
    http://devid.info/uploads/software/DevIDagent.exe
  • Kifungue hicho kifaili, hakikisha upo connected kwenye internet, Baada ya 10seconds kitakupa list ya drivers zisizo kuwepo kwenye computer yako, sizee ya kila driver, pamoja na link ya ku_download. Mfano wake ni hii picha.
9-5-2013 5-44-19 AMdr.png
  • Iwapo njia hizi zote mbili utashidwa basi mtembelee fundi aliye karibu nawe.
toshiba satellite
  • Model ipi? Mfano: Satellite P50-A , weka model ili upewe direct link ya graphic driver ili kuondoa hilo tatizo lako.

Karibu
 
  • Njia ya pili: Download hiki kifaili kina size ya 1.02mb
    Code:
    http://devid.info/uploads/software/DevIDagent.exe
  • Kifungue hicho kifaili, hakikisha upo connected kwenye internet, Baada ya 10seconds kitakupa list ya drivers zisizo kuwepo kwenye computer yako, sizee ya kila driver, pamoja na link ya ku_download. Mfano wake ni hii picha.
View attachment 110574
  • Iwapo njia hizi zote mbili utashidwa basi mtembelee fundi aliye karibu nawe.

  • Model ipi? Mfano: Satellite P50-A , weka model ili upewe direct link ya graphic driver ili kuondoa hilo tatizo lako.

Karibu
Jamaa shida yake siyo graphic (display) drivers, tatizo ni function keys hazifanyikazi.
 
Back
Top Bottom