Msaada juu ya eligibility ya kozi TCU

king rockie ATL

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
260
25
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?
 
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?

Una uhakika umequalify??? Double check hizo programs zako and try contact TCU for more details, Lakini cha msingi angalia minimum admission points wanazotaka na admission requirements, Inawezekana hapo ndio kunatatizo
 
yani requirement zote zipo na minimum pont nmepta kwani kozi nyingi nilizoapply ni za sua na point zake ni 3 mimi nna point 9 na masomo yanyohitajika yapo
 
yani requirement zote zipo na minimum pont nmepta kwani kozi nyingi nilizoapply ni za sua na point zake ni 3 mimi nna point 9 na masomo yanyohitajika yapo

Naona malalamiko ya CAS yamekua mengi nadhani kutakua na system failure kama ile ya NECTA na matokeo ya Islamic Knowledge, Fika ofisini kwao kwa maelezo zaidi
 
wapigie simu wakupe maelekezo,maana sio jambo la kawaida hilo
 
so hapo cha kufanya ni nini? maana hata contack zao za kwenye guidebook hazipatikani!! na hii itakua na affect kwenye selection?
 
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?

Fungua PROFILE yako na uangalie kama matokeo yako ya "A" level yapo. Kama hayapo wasiliana na TCU wayaingize the clear selection na ujaze tena. wengi wa aina ninayoizungumza wamefanya hivyo na wamefanikiwa.
 
Duh yako kali toka makete mpaka Dar! hebu ulizia ulia hata namba za simu
 
Back
Top Bottom