Msaada juu ya electronic and communication engineering | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya electronic and communication engineering

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinota, Sep 5, 2012.

 1. k

  kinota Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba mnijuze wana jamii hii coz inalipa katika ajira? na naweza fanya kazi maeneo yapi wakuu, na je? katika kujiajiri ikoje?
   
 2. M

  Martin Firmin Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  Hiyo coz iko st.joseph tu unajua wale wanaiita hivyo kutokana na mitaala ya India so ukiingalia kiundani ni kama telecom ya udsm ila ninachokifahamu telecom ni ka part tu ka communication so yenyewe iko wide kiaina, alafu ukifika pale chuoni utakuta ghorofa yao moja imeandikwa kwa maandishi makubwa SCHOOL OF ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING so mkuu kwa maneno mengine naweza kusema ile ni Telecom so tegemea kufanya kazi kama TELECO ENGINEER. Hayo ni maoni yangu
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  iko poa...naiman kama mdau alivosema hapo juu ipo st joseph...cha mwimu kapige msuli!!!
   
 4. J

  JPM605 Senior Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ipo DIT pia.
   
Loading...