Digital sim.. ni Line ambayo ni Electrical yaan sio Physical kama hizi line zingine.
Kwa ufupi science na teknolojia ilipofikia sasa inataka Smartphones zote zije bila ya kuwepo kwa sehem ya Sim card tray. So unachofanya unakuwa Una Login kama ilivyo ktk Email etc.. kila kitu kinakuwa tyr.
Tumetok ktk Standard Sim card Micro sim card mpk sas tupo ktk Nano sim card .. na tunajongea ktk E-Sim.
Airtel wanafanya... Sijajua kwa wengineMalizia na concern ya mtoa mada, je huduma hii inatolewa na mitandao yetu hapa Tanzania?
Airtel wanafanya... Sijajua kwa wengine
Habari za saa hizi,
Wadau ninaomba msaada kwenu kwa wenye uzoefu juu ya hii kitu inayoitwa digital sim nimenunua simu Iphone 11 dual sim baada ya simu kunifikia nikagundua kwenye tray ya kuweka simu hamna sehem ya kuweka line ya pili lakini ina emai mbili na kwenye settings inaonesha kuna sehem ya primary sim na digital sim baada ya kuuliza nimeambiwa kuna kitu ina inaitwa digital sim ambayo inatolewa na mtandao wako bila kuhusisha physical sim card naomba msaada wadau kama huduma iyo inapatikana hapa Tanzania coz the phone is bit expensive than ya single sim
Airtel wanafanya... Sijajua kwa wengine