mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,337 Reaction score 12,469 Oct 13, 2018 #1 Habari za saivi wakuu naomba kujuzwa juu ya ubora na mazingira ya DIT mwanza compus ,hiki chuo kizur? na je coz ya science and laboratory techlogy ni nzur? Inaajira za kutosha?
Habari za saivi wakuu naomba kujuzwa juu ya ubora na mazingira ya DIT mwanza compus ,hiki chuo kizur? na je coz ya science and laboratory techlogy ni nzur? Inaajira za kutosha?
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,337 Reaction score 12,469 Oct 13, 2018 Thread starter #2 Hiyo science and laboratory technology inahusika na nini hasa ?
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 3,379 Reaction score 5,509 Jun 7, 2026 #4 Nenda VETA achana na kozi za kiduanzi kama hizo Kama umechaguliwa DIT yenyewe ya Dar kwa kozi za Mechanical, Electrical au Civil engineering hapo sawa
Nenda VETA achana na kozi za kiduanzi kama hizo Kama umechaguliwa DIT yenyewe ya Dar kwa kozi za Mechanical, Electrical au Civil engineering hapo sawa