vip kuna "MALIPO YANAHITAJIKA , HAPO KAMA UKITAKA KUHAMIA HAPO CHUO KIKUU ?"Nenda udsm barua ipo huko huko ya kujaza
Nenda kwa director wa undergraduate studies form utazikuta huko af utaenda kwenye idara unayotaka kuhamiaUdsm wazinguzi sana kuna kasecretary kao kanaeleza upuuzi afu akajui kuongea na watu sa ndo maana nmeona bora nfupishe swala kwakuwauliza nyie wadau
Nilipewa maelekezo kipindi nataka kuhamia MUST nikiwa nimechaguliwa DIT. Kwa maelezo ya watu wa admission pale MUST ambapo unaweza kutumia mfumo huo kwenye vyuo vingine;Habari zenu ndugu zangu,
Naomba nipate muundo wa barua ya uhamisho kutoka Chuo kwenda Chuo kwa mtu yoyote anayefahamu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ninayehitaji kuhama kutoka Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) kwenda University of Dar es Salaam (UDSM). Naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Ahsanteni.
Nilipewa maelekezo kipindi nataka kuhamia MUST nikiwa nimechaguliwa DIT. Kwa maelezo ya watu wa admission pale MUST ambapo unaweza kutumia mfumo huo kwenye vyuo vingine;
1. Unaandika barua ikiwa inaelekea TCU kupitia chuo husika unachotaka kuhamia.
2. Ambatanisha admission letter au matokeo kutoka chuo unachotoka.
3. Ambatanisha na vyeti au uthibitisho uliokufanya ukachaguliwa hicho chuo unachotaka kuhama.
U
Mkuu , uliandika
kwa kiswahili , ama kiingereza .?
Hivi kupitia kwa (k.k) kwa kiingereza huwa inaandikwaje ?
Walimu wa lugha primary mna shida sanaNi aibu Mwanafunzi wa chuo kutojua jinsi ya kuandika Barua ya Kiofisi
Aibu sana.
Afu unakuta alifaulu mtihani wa Form Six.
@FaizaFox njoo uone wanaosomea ujinga shuleni
Ni aibu Mwanafunzi wa chuo kutojua jinsi ya kuandika Barua ya Kiofisi
Aibu sana.
Afu unakuta alifaulu mtihani wa Form Six.
@FaizaFox njoo uone wanaosomea ujinga shuleni
Ni aibu kusema kweli.
Hivi huu muda wakulaumu siungeutumia kufanya mambo yako uoni ingesaidia
Sawa kaka
MkuuNi aibu Mwanafunzi wa chuo kutojua jinsi ya kuandika Barua ya Kiofisi
Aibu sana.
Afu unakuta alifaulu mtihani wa Form Six.
@FaizaFox njoo uone wanaosomea ujinga shuleni