Stimavoltage
Member
- Oct 18, 2018
- 16
- 8
Habari zenu wakuu , Kijana wenu ningependa kuomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu application za simu au computer (pc) zenye uwezo wa kuonyesha NOTES ZA ELIMU YA VYUO VIKUU TANZANIA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ingia play store pakua app inaitwa wakuxoma utapata utakachoHabari zenu wakuu , Kijana wenu ningependa kuomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu application za simu au computer (pc) zenye uwezo wa kuonyesha NOTES ZA ELIMU YA VYUO VIKUU TANZANIA![]()
Hahahhahaha yani wewe una smartphone lkn huna apps za muhimuu......Sio mbayaa lkn download Adobe Reader kwa PC na simu pia kwa ajili ya kufungua PDF,pia Download WPS office ipo playstore kwa simu kwa ajili ya kusoma PowerPoint,,,,,,Pia download Foxit Reader kwa PC yako ni nzuri SNA kwa kusomea PDF.Ingia play store pakua app inaitwa wakuxoma utapata utakacho
si kila mwenye sim anajuwa kutumia simu jaman!!!!!Hahahhahaha yani wewe una smartphone lkn huna apps za muhimuu......Sio mbayaa lkn download Adobe Reader kwa PC na simu pia kwa ajili ya kufungua PDF,pia Download WPS office ipo playstore kwa simu kwa ajili ya kusoma PowerPoint,,,,,,Pia download Foxit Reader kwa PC yako ni nzuri SNA kwa kusomea PDF.
Hahahahahahasi kila mwenye sim anajuwa kutumia simu jaman!!!!!