Naomba msaada,uwa naboleka sana napotumia internet inatokea incoming call,napo.Jaribu kuweka incoming call barring inaniandikia kuwa nimejaribu mara nyingi password ambazo sio sahihi.
Yaani
"Call barring is blocked because an incorrect password was entered too many times.Contact your wireless service provider for assistence"
Msaada tafadhali.