Waungwana wa technology, kuna uwezekano wa data kuwa on wakati mitandao ikiwa off? Naamanisha unapokuwa unatumia JF, Watsupp, face book na mengineyo off mpaka uikomandi kuwa on, sio hivi ukiwasha data tu vurugu mtindo mmoja
Install No Root firewall, unaweza kuikataza App kutumia mtandao wa data au wa wifi. So unaweza kuruhusu WhatsApp data&wifi lakini Instagram Wifi only, Youtube ukazima kabisa etc.
Tecno kuna app inakuja na CM. Ina freezing apps. Ninaweza mikawa sipo online Whatsappp hata mwezi lakini natumia instagram jf, na kwingine kote. Data inakuwa on anytime.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.