Msaada: Jinsi ya kuweka picha zangu google

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,712
Reaction score
1,662
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu, mimi na ujanja wangu wote wa simu kompyuta na mitandao ila nashindwa kuweka picha zangu gugo. Naamini watu tukihitaji picha za watu furani maarufu au kutaka kuona sura ya kitu fulani tunakimbilia gugo ila huwa sijui kupakia picha hizo ili mtu yeyote anaweza kuingia gugo na kuziona. Msaada jamani kwa anaejua anisaidie sana. Natanguliza shukurani[emoji120]
 
Nenda kwenye App ya googlephoto fanya mafekeche yako halafu picha uzi back up.Zitakuwepo kwenye google account yako milele, ambayo imeunganishwa na email yako.

Halafu usitake uzione picha zako kama za watu maarufu.Watu maarufu zinapatikana kirahisi kwa sababu picha zao zipo kwenye ma blog na website nyingi.Kwanza hao hadi google inawafahamu[emoji3]
 
Tengeneza personal blog kisha weka picha na wewe utaonekana "Gugo"

Sema kama una jina common watu wakisearch itakuwa ngumu kuonekana kirahisi ila yale majina ya kimila kama ntundufye, mwakibinga, rutashobolwa etc ni rahisi kutokea maana hayapatikani sehemu nyingi.
 
Mpaka uwe na umaarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…