Msaada jinsi ya kuweka custome rom

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa anipe muongozo, nna huawei p6 updated to kit kat, nlii root kupitia twrp so mpaka sasa simu ina twrp recovery, sasa nataka niweke miui rom na tayar nsha download file lake ila katika ku google maelekezo nmekuta wameelekeza kwa kutumia cwm recovery..je natakiwa nifanye nn hapo?(sina utaalamu sana wa haya mambo),ntashukuru sana kwa msaada
 
Hazitofautiani sana ufanyaji kazi zinatofautiana tu muonekano. Click tu install kwenye hio twrp yako
 
Hazitofautiani sana ufanyaji kazi zinatofautiana tu muonekano. Click tu install kwenye hio twrp yako
Samahan kaka,unaweza ukanielekeza hatua kwa hatua...maana naweza kuingia had kwenye ile menu ya twrp ila pa kuanzia na kuendelea sasa ndo nashindwa.
 
Samahan kaka,unaweza ukanielekeza hatua kwa hatua...maana naweza kuingia had kwenye ile menu ya twrp ila pa kuanzia na kuendelea sasa ndo nashindwa.

Kwenye twrp recovery kuna options kibao, kama vile kubackup rom, na hii option ni muhimu sana iwapo utapenda kurudia rom yako, baada ya kutoipenda au kutovutiwa na custom rom ama rom uliyoifanyia installation bila kupoteza data. Kuna option ya kuwipe, unaweza ukafanya regular wipe ambayo tunaiita factory reset, na pia unaweza kufanya clean wipe, ambapo utaweza kufuta Cache, Dalvick Cache, cust, data na vile vile ukafuta system, internal storage na sd card.
Baada ya kufanya wipe then unaweza ukaanza kuflash custom rom yako iliyo katika internal storage au sd card. Kwa kawaida flashable roms na mods nyingi za android zinakuwa katika mfumo wa .ZIP. Locate ROM yako na pia unaweza uka-append files zako nyingi utakazotaka kuziflash. Kwa mfano, Unaweza ukaanza na custom rom, then uka-add google apps, mods , flashable fonts na flashable files zozote utakazopenda kuziweka. Then baada ya kuflash ni vizuri ukawipe cache na dalvick cache na ukafanya factory reset ili kuzuia bootloop.
NOTE: Kama unafanya clean wipe hakikisha usifute storage uliyoweka file la custom rom yako.
 
Samahan kaka,unaweza ukanielekeza hatua kwa hatua...maana naweza kuingia had kwenye ile menu ya twrp ila pa kuanzia na kuendelea sasa ndo nashindwa.

1.download custom rom eka kwenye folder unalolikumbuka
2.ingia twrp then wipe simu
3.nenda advanced wipe dalvik cache
4.nenda install then storage halafu chagua ile custom rom kisha install
5. Reboot simu yako itakua na custom rom
 
Thanx kaka..ngoja nifanye sasa
 
Nashukuru sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…