Msaada jinsi ya kutumia port au proxy server kupata unlimited internet

Naombeni msaada jinsi ya kutumia port au proxy server kupata unlimited internet.......
uwezo huo upo nainawezekana sana duniani kote ila kunaitaji umakini wa hari ya juu
Kwanza umekosea kuuliza sehemu hakuna mtu atakaweza kukusaidi hapa coz kila mmoja hataki kitumbua kimwagiwe mchanga coz akijitolea mtu hapa kukufundisha kama leo hadi ikifika j,3 hatoweze kupata hiyo huduma watu wa mitandao wapo humu wanzunguka kama C.I.A kutafuta vitu kama ivyo watu wasitumie bure Internet zao coz wao wanalipa kodi ya taifa alafu wewe utumie bure na kuafundisha wezako kituicho huwa hawataki na watafunga huo mwanya ulikuwa unautumia kupata internet free sasa hapo utampa kazi mtu anaetafuta uchochoro wa kutumia internet free mwengine utampa kibarua cha kutafuta kipya na wakati alikuwa anatumia kwa mselereko sana
Pili cha kukushauli tafuta Forums za njee ya nchi hii labda kama vile uwingeleza malekani canada india alafu uliza swali kama hilo huko watakupa mlolongo mzima wa kutumia Internet free na utafanikiwa zaidi na utatumia vizuri ila ukishaipata ukisanbaza itakula kwako ndani ya wiki utaludi shimoni na kutumia internet ya kununua hapa kunawatu wanauza VPN humu lakini kwa sasa hawataki coz kila baada ya mwezi huwa zinafungiwa sasa wameamua kukaa kimya sijui kama wanaendelea au laa na humu hutoweza kupata jibu sahii utasikia mtu anakujibu kwa kujisikia au takuuliza swali kama hili wewe umesiki wapi mambo hayo sio kama ajui anajua ila anajua madhala hiyo kitu kukupa maujuzi hayo atapoteza kitonga chake bola atulie kama mualabu na BOMU lake kwenye uwanja wa ndege.
NIMEMALIZA
 
Back
Top Bottom