Msaada jinsi ya kutumia HTC iliyo lokiwa

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Ama kweli ndama wa maskini hazai, akizaa huzaa dume. Nilikuwa na shauku Sana anko wangu aliponijulisha kuwa ataniletea simu kali. Hamadi, siku wa siku nikaletewa HTC one m7. Kuweka laini naambiwa no service. Kucheck status naambiwa SIM card locked. Nusura nitoe machozi, shauku yote kwisha. Kinachonishangaza Ni kuwa contacts naziona za kwenye simu card pamoja na applications zake ila mnara unaonesha hakuna network na Kuna alama x. Anko anasema si mtalaam Sana na aliinunua bila kujua kama ni locked ama la.
Taarifa zinainesha ilikuwa inatumiwa na mtandao wa t-mobile huko USA

Nitatulieni hili tatizo wakuu ili niweze kuongeza heshima hapa mtaani

Nipo Geita Mwanza. Kama upo Dar au mwanza, naweza kumtuma mtu ailete
Karibuni
 
Pole mkuu Polisi hiyo gift yako uliyoletewa na anko ipo locked na mtandao wa huko majuu alikoenda.. Solution yake kwenda kwa mafundi kui-unlock. Mcheck Mwl.RCT anaweza kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli ndama wa maskini hazai, akizaa huzaa dume. Nilikuwa na shauku Sana anko wangu aliponijulisha kuwa ataniletea simu kali. Hamadi, siku wa siku nikaletewa HTC one m7. Kuweka laini naambiwa no service. Kucheck status naambiwa SIM card locked. Nusura nitoe machozi, shauku yote kwisha. Kinachonishangaza Ni kuwa contacts naziona za kwenye simu card pamoja na applications zake ila mnara unaonesha hakuna network na Kuna alama x. Anko anasema si mtalaam Sana na aliinunua bila kujua kama ni locked ama la.
Taarifa zinainesha ilikuwa inatumiwa na mtandao wa t-mobile huko USA

Nitatulieni hili tatizo wakuu ili niweze kuongeza heshima hapa mtaani

Nipo Geita Mwanza. Kama upo Dar au mwanza, naweza kumtuma mtu ailete
Karibuni
 
Pole sana bro
ufuata ushauri hapo juu
Wala ucpeleke kwa fundi
Utafanikiwa
 
Back
Top Bottom