Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 672
Ndio inatokea list ya input methods sa mi nataka niprioritize nikitaka kuandika input method ya kawaida ndio iwe default au mtu anifundishe jinsi ya kutumia hiyo ya "En" maana nimehangaika hadi youtube lakin hawazungumzii hii kituukibinya # nini kinatokea wakati unataka kuandika???
Sasa tupate mtu wa kutufundisha hiyo "En"Iyo imesetiwa ivyo automatic mzee
Dah itabid utuelekeze vizuri hapaNilikuwa napenda sana kutumia Sw kwenye nokia. Yaani ukiijulia unaandika msg fasta spidi karibu sawa na keybord ya computer, yaani kila button unadonoa mara moja tu then yenyewe inakisia neno ulilodhamiria kuandika.
Sasa hii inaweza kupredict maneno ya kiswahili kweli"En" mode inawezesha (ina Activate) prediction ya maneno ya kiingereza.
Kwa mfano unapowasha "En" halafu ukabonyeza button zifuatazo:
9, 2, 8, 3, 7 utakuwa umeandika neno Water .
Kumbuka hapo kila button umeibonyeza mara moja tu.
Mwanzoni ukianza kuandika itatokea neno tofauti lakini utakapomalizia button ya mwisho, litakuja neno sahihi "Water".
Yaani ukibonyeza 9 itakuja W,
Ukibonyeza 2 itakuja A,
Ukibonyeza 8 itakuja T,
Ukibonyeza 3 itakuja D,
Ukibonyeza 7 itakuja P, Lakini ghafla itabadilika na kuwa R. na wakati ile D itabadilika na kuwa E.
Kwa hiyo WATDP itakuwa WATER.
---------+++---------+++++-------
Ukitaka kuandika neno FATHER.
Bonyeza 3, itakuja D
Bonyeza 2, itakuja A
Bonyeza 8, itakuja T,
Bonyeza 4, itakuja G
Bonyeza 3, itakuja D,
Bonyeza 7, itakuja R Badala ya Q.
Na neno zima litabadilika na kuwa FATHER badala ya kuwa DATGDQ
Ukiona pana Sw ujue inawezaSasa hii inaweza kupredict maneno ya kiswahili kweli
Kuna namba nimebonya bonya hapa imekuja SABAYA...."En" mode inawezesha (ina Activate) prediction ya maneno ya kiingereza.