Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 279
Msaada jinsi ya ku- unlock id ipad2
Nikiingia hapo inaniadikia try again
Nikiingia hapo inaniadikia try again
Nimesahau mzeeSasa kama ni yakwako why unaomba msaada humu. Wakati wewe ndiye uliyeweka hizo details.!!!
Duh!!!Nimesahau mzee
Niliiwela sijaitumia siku nyingi toka 2016Duh!!!
Niliiwela sijaitumia siku nyingi toka 2016
InashangazaHivi mtu unasahau vipi details zako
Hivi mtu unasahau vipi details zako