Msaada: Jinsi ya kutengeneza scramble eggs

Sitaki frozen food...i want to make 'em my self huelewi? Usiassume kila mtu yuko kwenye frozen food bye the way
 
Acha wivu weweeeeeeeeeee..Unaona hatari!...hahaha i think kwa sababu huwezi chukua vacation kama siye wengine uwiii!...pole weeh we can ajiri you to be our houseboy ili tukiwa tunaenda vacation you can accompany us....with no charge

Naona ana kikorosho kwa vile umempiga kibuyu licha ya kuja na stori zake za upedejee....heheheheheeee.....
 
Haya nyani, naona kaaazi kweli kweli.

Have fun in Tampa, don't eat and drink too much, you will miss the game!
 
YE....Kwanza ulipotelea wapi ile hadithi yangu ilikufanya upotee kabisa nini ulienda practice?...

anyhoo you know cupcake atakuwa in good hands...tutakutumia picha
 
i know you will lookout for me if i get too wasted.....
 
YE....Kwanza ulipotelea wapi ile hadithi yangu ilikufanya upotee kabisa nini ulienda practice?...

anyhoo you know cupcake atakuwa in good hands...tutakutumia picha

Nipo, nachungulia kwa mbali, naona mambo yanaiva, watu wanaingia Aspen.

Hadithi ilikuwa tamu, ghafla watu wakachafua hewa.....itaendelea?
 
You know...watu kwanza wanaingia Aspen for skating then jumapili ndani ya Tampa..yaani ni raha kwa kwenda mbele this weekend..tukirudi home chakari si unajua madhara yake baada ya starehe?...hahahah..alafu watu wanalalmika eti uchumi mbaya nani kasema..obama mwenyewe alikula goodtime wakati wa inaguration yake kwa kuspend milllion 140 just for one day....

I know watu walichafua kabisa hali ya hewa na ile hadithi yetu sijui walikuwa na kikorosho walitaka wao ndiyo wawe ma-sterling hahaha..itabidi iendelee wewe unaonaje?
 
You know...watu kwanza wanaingia Aspen for skating then jumapili ndani ya Tampa..yaani ni raha kwa kwenda mbele this weekend..tukirudi home chakari si unajua madhara yake baada ya starehe?...hahahah

I know watu walichafua kabisa hali ya hewa na ile hadithi yetu sijui walikuwa na kikorosho walitaka wao ndiyo wawe ma-sterling hahaha..itabidi iendelee wewe unaonaje?

Tupo pamoja....hadithi njoo....
 
ndiyo maana yake cuz (YE)

Itabidi nitafute haditi nyingine..ambayo siyo erotic kama ile labda james bond like au?....

James bond sio...lol
Nona umejiami na Cuz mapema safari ya Aspen isihairishwe.
Mi naona uimalizie ile ya mwanzo maana ilikuwa kama movie.
 
Oh no safari ya aspen haiwezi kuhairishwa kabisa maana we have been talking about it for months....

I know ile ilikuwa powa sana...waswahili waliharibu sana wao kila kitu ni serious matters.
 
You know...watu kwanza wanaingia Aspen for skating then jumapili ndani ya Tampa..yaani ni raha kwa kwenda mbele this weekend..tukirudi home chakari si unajua madhara yake baada ya starehe?...hahahah..alafu watu wanalalmika eti uchumi mbaya nani kasema..obama mwenyewe alikula goodtime wakati wa inaguration yake kwa kuspend milllion 140 just for one day....

I know watu walichafua kabisa hali ya hewa na ile hadithi yetu sijui walikuwa na kikorosho walitaka wao ndiyo wawe ma-sterling hahaha..itabidi iendelee wewe unaonaje?

yeah yeah cupcake...weekend hii ni full kujiachia.....Yo Yo kama ana hate anywe viwembe....
 
Back
Top Bottom