central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 150
- 218
Wakuu kwema? Habari za muda huu. Naombeni msaada wenu juu ya hili.
Nawezaje kutengeza zile Megamix, Mfano nyimbo 50. Yani ile playlist moja tu. Niki-Play zinapiga hadi basi.
Huwa naona lakini huwa sijui zinatengenezwa vipi. Je Simu inaweza kutengeza? Sina P.C wala nini.
Kama simu inaweza, Nitumie App gani?
Msaada tafadhali.