Msaada jinsi ya kutatua matatizo yangu ofisi za LAPF Dodoma

Ahsante mkuu swala la usimamizi halina taabu kabisa Mulika J yupo pale LAPF Dodoma??

Ndiyo mkuu.kama bado hujafanya chochote nijulishe tafadhali nipo dom km siku 4 hv nimtafute na mwingne nikiwapata niwape ishu yako na takupa mrejesho mkuu
 
ndiyo mkuu.kama bado hujafanya chochote nijulishe tafadhali nipo dom km siku 4 hv nimtafute na mwingne nikiwapata niwape ishu yako na takupa mrejesho mkuu

ok bado mkuu nipm mawasiliano yako basi ili tuweze kuwasiliana
 
Wadau mambo yanazidi kuwa magumu nimejitahidi kwenda Dodoma ila sipewi nafasi ya kuonana na wakuu mlioniagiza niwaone naomben ushauri wa nini chakufanya maana tunapoteza muda tu sipat muafaka tunafuatilia mambo hatujui mwisho wake utakuwaje
 
nenda pale ulizia Joyce Mtinangi.. ni mhasibu! omba appointment.. mwambie nimeagizwa na kakako wa IFM
 
nenda pale ulizia Joyce Mtinangi.. ni mhasibu! omba appointment.. mwambie nimeagizwa na kakako wa IFM

Mkuu niPM details zako zaidi na za huyu Dada Joyce nifanye mihadi naye maana naenda mara ya 5 sasa kwa kupitia njia hizo nakwamishwa nikiwatajia shida yangu tu inaonyesha kama wameshaambiana hawa wa chini wanizungushe ili yasifike juu
 
mkuu nipm details zako zaidi na za huyu dada joyce nifanye mihadi naye maana naenda mara ya 5 sasa kwa kupitia njia hizo nakwamishwa nikiwatajia shida yangu tu inaonyesha kama wameshaambiana hawa wa chini wanizungushe ili yasifike juu
kaka pole sana,lakini yana mwisho.haki haipotei,inacheleweshwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom