Msaada jinsi ya kutambua SD Card au USB Flash drive bora

Msaada jinsi ya kutambua SD Card au USB Flash drive bora

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Habari wajuvi,
Nimekua mtumiaji wa muda mrefu wa hivyo vifaa nilivyovitaja katika kichwa chwa habari hapo juu lakini nimekua nikinunua kwa kubahatisha tu kwa kweli sifahamu kabisa jinsi ya kutambua ubora wa vifaa hivi kabla ya kununua.
 

Attachments

  • Screen_Capture_Img_2652.jpg
    Screen_Capture_Img_2652.jpg
    99.6 KB · Views: 43
  • Screen_Capture_Img_5512.jpg
    Screen_Capture_Img_5512.jpg
    92.8 KB · Views: 40
  • Screen_Capture_Img_5512.jpg
    Screen_Capture_Img_5512.jpg
    92.8 KB · Views: 37
  • Screen_Capture_Img_5512.jpg
    Screen_Capture_Img_5512.jpg
    92.8 KB · Views: 37
Habari wajuvi,
Nimekua mtumiaji wa muda mrefu wa hivyo vifaa nilivyovitaja katika kichwa chwa habari hapo juu lakini nimekua nikinunua kwa kubahatisha tu kwa kweli sifahamu kabisa jinsi ya kutambua ubora wa vifaa hivi kabla ya kununua.
Tembelea hapa uzi upo outdated ila utakupa mwanga fulani.
https://www.jamiiforums.com/threads/unatumia-memory-card-ya-aina-gani-je-ni-sahihi-kwako.595917

Kuna app pia inaitwa sd insight ipo playstore itakusaidia kujua memory fake.
 
Back
Top Bottom