Make sure computer husika zinaonana, kama unatumia win 7 or above, enable advanced sharing feature. Katika computer yenye printer nenda kwenye DEVICES AND PRINTERS na SHARE printer husika. Hakikisha unafahamu IP ya computer hiyo yenye printer. Nenda kwenye computer nyingine unayotaka ku connect printer, open RUN then weka kwenye field \\"IP address ya computer yenye printer". Press enter and see the target printer, right click and connect
Inawezekana lakini sio kila printer inafaa. Printer zinazofaa kushare kwenye network bila ku attach kwenye computer kama server, ni zile printer zinazo support ethernet, wireless,bluetooth au zenye parallel port.
Hizo printer zenye ethernet port/📶 wifi support zinatumika kwa kuziunga kwenye network husika na utaweza ku access kwa kupitia IP address zake.
Printer yenye PARALLEL port inaweza kutumika kwenye network moja kwa moja endapo utatumia kifaa kinaitwa PARALLEL to ETHERNET converter.
Printer zenye bluetooth pia zinaweza kutumika direct endapo unatumia computer 💻 yenye Bluetooth .