Msaada jinsi ya kusajili na gharama za shortcode

Msaada jinsi ya kusajili na gharama za shortcode

mwasebason

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Habari wanaJF naulizia kwa wazoefu au wanaofahamu utaratibu wa kusajili na gharama za shortcode mf. 55576 kwa ajili ya kampuni, msaada kwa wenye uelewa huo.
 
Bulk sms, sms.tigo.co.tz , sms.co.tz jisajili humo utapata hufuma hiyo.
 
Back
Top Bottom