Msaada: Jinsi ya kurudisha meseji za whatsapp

Msaada: Jinsi ya kurudisha meseji za whatsapp

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari wataalam wa mambo ya IT
Naomba mwongozo wa namna gani nitarudisha meseji za whatsapp zilizofutika ie backup katika simu yangu. Kwani nimejitahidi kurudisha lakini sizioni au sijui wapi labda zinakuwa 'stored' baada ya kurejea
Aina ya simu ni OPPO F5. Mfumo wa simu OS ni android 7.1, RAM 4GB, Storage ni 32GB
Natanguliza shukrani za dhati kwani hizo meseji muhimu sana
 
Fuata maelekezo haya taratibu utaelewa.
Screenshot_20180422-234847.jpg
 
Asante sana mkuu. Nafanyia kazi ntaleta feedback
 
Back
Top Bottom