Msaada:Jinsi ya kurudisha IMEI za Awali.

Msaada:Jinsi ya kurudisha IMEI za Awali.

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Habari wakuu!!
Hapa Nina smartphone yangu,
Nikiuliza IMEI zake zinafanana Kati IMEI ya SIM 1 na SIM 2,Hizo IMEI zitakuwa zimebadilishwa? Na kama zimebadilishwa nafanyaje kuzirudisha IMEI za awali msaada tafadhali!!
 
Yaani mkuu ipo hivi SPYMATE nikibonyeza *#06# IMEI zinakuja zimefanana, na nikiangalia IMEI nyuma ya simu yaani nyuma ya battery linapokaa IMEI ziko tofauti na IMEI ambazo nikibonyeza *#06# kwenye screen, so nifanyeje ili IMEI zinazotokea kwenye screen zifanane na IMEI za nyuma ya battery?
Screenshot_2019-01-17-10-14-55.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom