Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,866
Ukiwaambia watakuoma uiandikeWaambie google
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
Wakati unatengeneza hiyo email hukuweka back up email....??nyie watu jamani nisaidieni
niwaambieje mkuu? sio gmail ni yahooWaambie google
ni miaka mingi mkuu hata sikumbuki halafu ndo email yangu tu nayotumiaWakati unatengeneza hiyo email hukuweka back up email....??
hq ndo wapi mkuu?Njia nyepesi apo ingekua kupitia hio namba ya simu... Labda uende HQ
Hapo itakuwia vigumu sana, kama email na namba ya simu hauna option iliyobaki nadhani watakwambia upige picha ukiwa na ID yenye jina lako halisi either ni passport au driving licence....ili wajidhihirishe kwamba ni email yako.ni miaka mingi mkuu hata sikumbuki halafu ndo email yangu tu nayotumia
Tupooduh! hivi kuna watu bado wanatumia yahoo.
duh! hivi kuna watu bado wanatumia yahoo.
Hapo itakuwia vigumu sana, kama email na namba ya simu hauna option iliyobaki nadhani watakwambia upige picha ukiwa na ID yenye jina lako halisi either ni passport au driving licence....ili wajidhihirishe kwamba ni email yako.
sasa wewe nenda kwenye hiyo sehemu ya *forget password* then utafute option ambayo hawahitaji back up email au namba ya simu halafu uone watakuambiajee..[/QUOT
basi imefutwa hiyoosioni hyo option ya back up email mkuu na hata sijui nilisajili vipi ni zamani sana yaani
kwangu sio secureInatatizo gani kwani!?
daaah nimescan huko mavyeti yangu inabidi nianze tena jamaniMiss Natafuta Important Note: Yahoo! Accounts that have been inactive for 12-months is liable to be deleted permanently. The abandoned accounts are being deleted from its server to keep the server more reliable and load-free. In this case, once deleted account will not be recovered anyhow.
hongereni endeleeni kutumia tuTupoo
Unaikumbuka hio email??daaah nimescan huko mavyeti yangu inabidi nianze tena jamani