Alfred Masesa
Member
- Nov 2, 2016
- 71
- 146
Wakuu.
Nili-reset simu yangu bila ku-save Documents zangu muhimu, na Kama ilivyo kawaida ya ku -reset kila kitu kinafutika, nami ndo hivyo kila kitu kimefutika.
Baada ya kufuatilia nimeambiwa kuna uwezekano wa kurudisha Documents zote zilizofutika Endapo nitapata mtaalamu wa kunielekeza.
Wakuu, kwa yoyote mwenye uelewa huo naomba msaada Tafadhali.
Natanguliza shukrani.