Msaada jinsi ya kurudisha chatting za whatsap

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,069
Reaction score
1,270
Wakuu naomba msaada wenu jinsi ya kurudishaa charting za SMS kw
 
Umeformat simu au ume-uninstall WhatsApp yako au umenunua simu ingine? Kwani hapo mwanzo uliwahi kufanya backup? WhatsApp yaweza fanya backup online na offline pia ili baada ya hapo kuwe na uwezekano wa restoration.

Sent from my cupboard using mug
 
Kuna mtu amechukua sim majuzi akazifuta charting nilizokua nachati na watu
 
Umeformat simu au ume-uninstall WhatsApp yako au umenunua simu ingine? Kwani hapo mwanzo uliwahi kufanya backup? WhatsApp yaweza fanya backup online na offline pia ili baada ya hapo kuwe na uwezekano wa restoration.

Sent from my cupboard using mug
Tupia maujuz kama simu ni mpya
 
Back
Top Bottom