Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 320
- 491
msaada wana jf naomba msaada kwa mwenye uelewa wa namna ya kuroot simu za hios kama tecno...
sio zote zinazokubalinilitishika ulivyosema hios, nikajua ulimaanisha ios, kumbe techino, tumia Kingroot, mambo yatakua byee
inakataa ndugunilitishika ulivyosema hios, nikajua ulimaanisha ios, kumbe techino, tumia Kingroot, mambo yatakua byee