Msaada!Jinsi ya kupokea malipo kupitia Paypal

Bungukwetu

Member
Jan 24, 2017
34
14
Kwa wale wenye experience na online business naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kupokea malipo kupitia Paypal.
Kuna threads zilikuwa zikiongelea payoneer kuwa mbadala wa Paypal lakini baada ya kupata ATM card ya Payoneer nimekuta nivitu viwili tofauti.
Nafikilia kufungua account Kenya (wao unaweza kutuma na kupokea malipo kupitia Paypal) lakini requirements ningumu kidogo:
Washirika wangu wana option mbili tu Bank transfer na Paypal, na nimeambiwa ukitumia normal bank transfer malipo yanaweza kukufikia baada ya siku 30.

Thank you!
 
Mimi juzi nilijaribu kutumia premier paypal account kupokea hela wakanambia natakiwa kuunganisha my bank card ili paypal yangu ipokee hela. Bado sijatatua jambo hili, WAJUZI MTUJUZE ZAIDI.
 
Mkuu pole kwa changamoto uliokutana nayo ni kweli wa Tanzania huwezi kupokea malopo kupitia PayPal(ukisoma Privacy Policy ya PayPal) utaliona hili. Hio account yako ya Payoneer kama sikosei ina maana account hio ipo kwenye bank moja Marekani iitwayo 1st Century sasa cha kufanya jaribu kuunganisha hio card yako ya 1st Century na PayPal yako. Kwa ufahamu wangu hata ukienda kwenye banl za Kenya zilizo Tanzania kwa mfano:KCB bado utakuwa na zuio na la PayPal kwa maana account yako itasoma kuwa iko Tanzania. Nafikiri ukiunganisha hio catd ya 1st Century itakuwa ni suluhisho.
Niliwahi rudishiwa pesa na seller wa eBay (ilikuwa $110),nilipiga simu customer care, ilibidi ni print email na kutangatanga karibu siku tatu na zaidi bank za CRDB ili tu hela irudishwe kwenye account. Hii ni changamoto kubwa kwetu Tz, embu kwa ambao mmefanikiwa katika hili ongezeni michango yenu wote tunafaike na mleta uzi. Ngoja nipite na online, nije na jibu la uhakika kama 1st Century Bank ya Marekani ukiwa na account inaweza kuwa suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wenye experience na online business naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kupokea malipo kupitia Paypal.
Kuna threads zilikuwa zikiongelea payoneer kuwa mbadala wa Paypal lakini baada ya kupata ATM card ya Payoneer nimekuta nivitu viwili tofauti.
Nafikilia kufungua account Kenya (wao unaweza kutuma na kupokea malipo kupitia Paypal) lakini requirements ningumu kidogo:
Washirika wangu wana option mbili tu Bank transfer na Paypal, na nimeambiwa ukitumia normal bank transfer malipo yanaweza kukufikia baada ya siku 30.

Thank you!
Mimi nimewahi tumia Payoneer account kupokea pesa kama miaka miwili iliyopita kipindi hicho Payoneer wana partnership na Bank of America sijajua kwa sasa kama partnership yao ipo sababu sijatumia muda mrefu, kilichokuwa kinafanyika ni kwamba ukiwa na card ya Payoneer basi unapewa account virtual bank account katika Bank of America ambapo ukishakuwa na account BOA inakuwa rahisi kulink na paypal sasa hii ikaenda ikanza kuleta shida upande wa ebay watu hawapati refunds zao inapotokea wanaomba refund baada ya malalamiko toka kwa watumiaji ndio ikabidi ianze kureject card za Payoneer na mimi ndio sikutumia tena ila nadhani ndio maana hadi jamaa sahivi wanatumia bank nyingine, Serikali especially BOT waliangalie sana hili swala maana wanakosesha watu wengi sana hela, kulikuwa na Petition ya ku convice Paypal na BOT walitazame ili hii issue iwe solved naona hamna supporters wa kutosha, inapatikana
PayPal tried to point out why Tanzanians cannot receive money but they weren't specific.
 
Nimerudi kwenye hii thread tena nlidhani jamaa amepata ufumbuzi. Kama hao wanaokudai wanaweza kukubali kukulipa kwa cryptocurrency (digital money mfano bitcoins na other altcoins) waombe wafanye ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia waweza niuliza kuhusiana na izo cryptocurrencies, nina ufahamu nazo na nishazitumia katika exchange mara kadhaa, hata kulipia huduma au bidhaa kimtandao nje ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kwa sisi Tanzania unaweza kutuma tu, msaada je huyo mtu atajuaje kama umemtumia pesa? maana naona wewe unachoweka ni email account yako na namna ya kumlipa kama ni visa au njia nyingine, msaada.
 
Kwa hiyo Tz imekuwa kisiwa when it comes to receipt of funds via paypal.. Bado hatuwez kupokea??
 
jaman ndg naomben msaada juu ya kufungua paypal account yeny uwezo wa kupokea hela Tanzania
Emb jaribu kufanya hivi mkuu fungua account yako ya paypal kama kawaida kisha nunua line ya safaricom ya kenya around (15-20 Tsh) na pia uwe na voda yenye mpesa then baada ya hapo una link account ya paypal na line ya safaricom then unatuma hela kuja mpesa.
 
Back
Top Bottom