Msaada: Jinsi ya kupata visa ya Italy

A.Ngindo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
276
100
Jamani nata visa ya kwenda italy kutembea napia namtaftia mdogo wangu wa miaka 16 pia je ni vigezo gani inabidi mimi niwe navyo na vigezo gani mdogo wangu anatakiwa awe navyo na garama ya visa zote mbili ina weza ikawa shing ngapi
 
Jamani nataka visa ya kwenda Italy kutembea na pia namtaftia mdogo wangu wa miaka 16.

Je ni vigezo gani inabidi mimi niwe navyo na vigezo gani mdogo wangu anatakiwa awe navyo na garama ya visa zote mbili ina weza ikawa shilingi ngapi
 
nisikia slaa yupo huko mkionana ktk matembezi umpe hai

mwambie siku hizi hakuna maandamano
 
Kigezo kikubwa ni kujua lugha yao
Hamna kigezo hicho, kama lugha ni kigezo basi kaka yangu asingekataliwa viza, maana wanakozungumza na anafanya nao kazi tokea 2008, unaongea bila ya usumbufu wowote,
Kati ya vigezo ni
A..kuweza kujikimu Ukiwa huko ( kuonesha bank statements yako)
B...Mualiko aidha kutoka kwa mtu alietimiza vigezo ( aoneshe salary slip yake, sio kila raia anaweza kukupa mwaliko na ukakubaliwa na ubalozi) au kwenye hafla ( kongamano, masomo n.k )
C.... booking ya hoteli ( kama umealikwa na mtu haijuhusu hilo sharti).
D... booking ya ndege
Kwa maelezo zaidi fika ubalozini
 
Back
Top Bottom