Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
- Thread starter
-
- #41
Ahsante Mkuu,kama kuna lolote waweza niongezea nakukaribisha sana,tatizo ni VISA TU mengine karibu yote nimecover!!.Achana na nchi yako. Kajenge uchumi wako binafsi. "nchi" ni mwanamke mgumu sana na wanamtumia vibaya sana. Pambana mkuu, na hivi bado upo single, time ni sasa.
Umri na hali halisi ya nchi vinawaruhusu kufanya hivo. Na nawaunga mkono. Hamna mazingira ya maisha TZ kwa sasa.Nyuzi za ng'ambo na mwamko wa vijana kuvuka border umekuwa mkubwa sana awamu hii hapa jukwaani..nini chanzo!?
Cc lusungo, blindspot
Yes nimejaribu kufanya Mkuu.usigusie hata kidogo.... ila sisitiza unahitaji ya kuanzia two month.
umeshafanya reseach za kazi zilizopo huko?
Ahsante sana Boss,as we join our hands together we create something great!!.Umri na hali halisi ya nchi vinawaruhusu kufanya hivo. Na nawaunga mkono. Hamna mazingira ya maisha TZ kwa sasa.
ok kila la kheri.Yes nimejaribu kufanya Mkuu.
Ahsante Mkuu.ok kila la kheri.
Ni kweli. Ila soma hiyo story ya jamaa nayo ina information nyingi sana ya kupanga mkakati. Kwa mimi nilivyoisoma ni kuwa ukienda uwe na visa ya walau miezi mitatu hasa kama kazi unakwenda kuanza kutafuta from point 0.Kwl Mkuu,ndiyo maana nimeandika kama kuna mtu aliyeko Dubai angenipa taarifa kamili ingenisaidia sana!!.
Ahsante kwa hilo Mkuu, hilo pia amekuwa akisisitiza Mkuu DabyNi kweli. Ila soma hiyo story ya jamaa nayo ina information nyingi sana ya kupanga mkakati. Kwa mimi nilivyoisoma ni kuwa ukienda uwe na visa ya walau miezi mitatu hasa kama kazi unakwenda kuanza kutafuta from point 0.
Binafsi la kukuongezea ni Maombi yangu kwa Mungu juu ya safari yako. Mungu akakutangulie na kukufungulia milango ya baraka. Sawa sawa na haja ya moyo wako na mapenzi yake akakubariki. Kila lakheri mkuuAhsante Mkuu,kama kuna lolote waweza niongezea nakukaribisha sana,tatizo ni VISA TU mengine karibu yote nimecover!!.
Ahsante sana Mkuu nashukuru kwa hilo,M.Mungu akubariki.Binafsi la kukuongezea ni Maombi yangu kwa Mungu juu ya safari yako. Mungu akakutangulie na kukufungulia milango ya baraka. Sawa sawa na haja ya moyo wako na mapenzi yake akakubariki. Kila lakheri mkuu
Na usisahau kutoa sadaka.Ahsante sana Mkuu nashukuru kwa hilo,M.Mungu akubariki.
Ngoja nikutafute Mkuu!!.ukishapata visa na kukamilisha hatua zote nitafte kuna inshu nimetaftiwa na mwana huko ananisubr tu mimi, nachelewa kdg kutokana na masuala ya kiafya nataka niende nikiwa nimeconfrm kama nipo physical fit mana kaz n kaz kweli kweli, so kama chance bd itakuwepo nitakupa hyo yangu m najua nitapata nyingne anytime nikiwa tayar
MTU anatafuta maisha, unamwambia maswala ya uzalendo.Kwanini usitafute kazi hapa hapa nyumbani kujenga uchumi wa nchi yako kizalendo?
Visa ya Dubai ni simple kupata,Kyaibumba yupo UKRAINE sio Dubai
Visa ya Dubai ni simple kupata,Ngoja nikutafute Mkuu!!.
Ngoja nimsubiri Mkuu,anaweza nipa mambo mawili matatu,si unajua tena penye wengi hapaharibiki jambo!!.
Wale watakusumbua bwana , maana hata we hautafaid ni siku 14 ndogo mnooo, utajiingiza kwenye matatizo buleMkuu huyo agent si ni wale wale wa 14 days?
Mbaya zaidi sijakuuliza wewe. Mbaya kuliko zote umeingilia mjadala usiokuhusu(umbeya).MTU anatafuta maisha, unamwambia maswala ya uzalendo.
Uzalendo ndio nn? Watu wanataka maisha na sio maswala ya uzalendo
Nimekuelewa Mkuu;Visa ya Dubai ni simple kupata,
Ila kuna issue ya kudhaminiwa maana vijana wakipata visa wakienda wana overstay
Mpaka upate mtu wa kukudhamini kwamba ukienda utarudi,au uweke deposit ya kuku guarantee 2 million
Visa kwa mwezi mmoja ni 150 USD
Miez mitatu ni 200 USD it depend na agent alokutaftia visa,
Ila ukiombea Tz lazima uweke deposit ya milion kama 2 kwa atakayekutaftia visa ili ukioverstay aitumie kulipa faini,
Lakin kama una mtu anayeish dubai unamtumia hela anakutaftia visa bila deposit, ye ndo anakudhamini kwa EMIRATES ID yake,
Nauli inategemea umebook ndege gani na msimu.upi, kama sasa.kuna punguzo la ramadhan kwa EMIRATES ni 380 USD return ticket
Sehem za kuish,
Dubai wanakaa kwenye Bed spaces, yaan mnachangia vitanda na kwa mwezi ni AED 600 sawa na laki 3 na 40 ya Tz,
Nakushauri chukua visa ya miez mitatu iwe rahisi kwako kupata kazi, usichukue ya mwezi mmoja itakusumbua,
Fanya hivi
Nauli 900,000
Visa 300,000
Room 700,000 kwa miez miwili angalau,
Chakula andaa 15000 per day
2,500,000 inakutosha kabisa